Programu hii inakuwezesha kupata msaada wa kisheria wa mambo mbalimbali ya kijamii kama Ndoa, Haki za watoto, Mikataba, Ubia na Ushirika pamoja na utatuzi wa migogoro ya kijamii.
لا توجد آراء أو تقييمات بعد! لترك أول تقييم يرجى